1
/
of
1
Ajira Jinsi ya Kujiajiri na Kuwaajiri Wengine
Ajira Jinsi ya Kujiajiri na Kuwaajiri Wengine
Regular price
$15.00 USD
Regular price
Sale price
$15.00 USD
Shipping calculated at checkout.
Quantity
Couldn't load pickup availability
Mawazo mapana na maarifa ya kujiajiri na Kuwaajiri wengine.
Kitabu hiki kinafichua siri kubwa zilizohifadhiwa kwa umakini, zinazolenga kumsaidia msomaji kutoka kwenye changamoto za kushindwa kujiajiri na kuwaajiri wengine. Kwa kutumia mbinu za kipekee za kutambua fursa na kutatua matatizo yanayoongoza kwingiza pesa. Mwandishi anatoa njia mpya ya kufikiri na suluhisho juu ya sababu zinazowazuia wengi kuanzisha au kuendeleza miradi ya kuweza kujiajiri.
Ni mwongozo wa vitendo unaoeleza:
- Njia bora za kujiajiri kwa kutumia rasilimali zilizopo
- Mbinu za kuunda ajira za pembeni kwa walioajiriwa tayari
- Mawazo mapana ya kukutanua akili na jinsi ya kuanza kujiajiri na kuwaajiri wengine
- Misingi ya dhamira ya kweli na hatua za kuchukua ili kufanikisha malengo ya kujiajiri
